viongozi wanaounga mkono serikali wakutana naivasha kujadili ushirikiano wa ODM na kenya kwanza

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 489 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Viongozi wanaounga mkono serikali wanakutana mjini Naivasha kwa mkutano unaotarajiwa kujadili mwelekeo wa ushirikiano wa ODM na Kenya kwanza kwenye uchaguzi mkuu ujao. mkutano huu unajadili miongoni mwa maswala mengine kubuni kamati itakayoshughulikia maswala muhimu ya ushirikiano wa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. rais ruto anatarajiwa katika mkutano huo. hebu tutazame yanayoendelea na baadaye tutaungana na mwanahabari wetu emmanuel too anayefuatilia taarifa hii huko naivasha kaunti ya nakuru

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%