Gachagua aisuta serikali ya Ruto kwa ahadi za uongo na kukandamiza wakosoaji

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 7 views | 5d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameisuta Serikali ya Rais William Ruto kwa Kutoa ahadi za Uongo kwa Wakenya na kuishia kujinufaisha badala ya Kutekeleza aliyoahidi. Akitoa hotuba yake kuhusu Miaka minne ya Rais William Ruto mamlakani, Gachagua amesema Uongozi wa Ruto umekumbwa na mapungufu mengi ya kimaendeleo pamoja na kutumia idara tofauti za serikali kuwakandamiza wakosoaji wa serikali.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%