Maswali yaibuka kuhusu kutoshirikishwa kwa makundi kwenye ruwaza ya baada ya 2030

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 13 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Maswali mazito yameibuka kuhusu kutoshirikishwa kwa makundi mbalimbali kwenye uzinduzi wa mazungumzo ya mustakabali wa taifa wa baada ya ruwaza ya mwaka wa 2030. Miongoni mwa makundi ambayo yalikuwa wazi hayakuwepo ni uwakilishi wa idara ya mahakama, baadhi ya makundi ya kidini na hata viongozi wa upinzani

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%