Upinzani wapinga ruwaza ya Kenya ya 2060, wadai ni njama ya Ruto kubaki mamlakani
Community Score: 50% | 66 views | 4d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Viongozi wa upinzani wamepuuzilia mbali mazungumzo ya ruwaza ya mwaka wa 2060 ambayo yamezinduliwa na Rais William Ruto hii leo. Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, na wandani wake wamedai kuwa ni njama ya serikali ya kubadilisha katiba kumpa Rais Ruto muda zaidi mamlakani. Aidha, ukosoaji wa uzinduzi huu umetolewa na naibu kinara wa Jubilee, Fred Matiang’i, na Kalonzo Musyoka.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%