Wataalamu wataka Kenya ipunguze madeni na kukomesha ufisadi kwa maendeleo

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 57 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Kuzinduliwa kwa mazungumzo ya ruwaza ya baada ya ajenda ya mwaka wa 2030 kumeibua maswali kuhusu ni maswala yapi hasaa yayofaa kuzingatiwa na kutimizwa kwa Kenya kuafikia malengo yake ya kuwa taifa lililostawi duniani. Wataalam wa kiuchumi wanasisitiza kwamba ni sharti Kenya iwekeze rasilmali, kupunguza madeni na kukomesha ufisadi ili kufaulu safari hii

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%