Ruto apendekeza kamati ya kitaifa ya ruwaza ya Kenya baada ya 2030

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 271 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Rais William Ruto amependekeza kubuniwa kwa kamati ya kitaifa itakayochukua maoni ya Wakenya kuhusu ruwaza ya baada ya mwaka wa 2030. Akizungumza alipozindua mazungumzo ya kitaifa kuhusu kubadilisha mustakabali wa taifa la Kenya kufikia viwango vya mataifa yaliyostawi, Rais Ruto aliwataka Wakenya kuunga mkono mpango huo akisema shauku ya siasa za uchaguzi zimechelewesha safari ya kuifanya Kenya inawiri.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%