Familia katika kaunti ya Kisii yaitaka serikali kuingilia kati kisa kuhusu maiti iliyokwama Dubai

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 383 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Familia moja kutoka eneo la Keumbu Nyaribari Chache kaunti ya Kisii yazidi kulilia serikali baada ya mwili wa mwanao uliyotarajiwa nchini kwa mazishi kudaiwa kuzuiliwa kile Dubai kwamba unapaswa kuzikwa kwenye makaburi ya milki ya Uarabu endapo hawatalipa ada ya ksh 500,000. Familia jamaa na marafiki wakusanyika katika boma la marehemu kwa jina Stephen Nyangau Sereti wakiwa na wasi wasi zaidi.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%