Wagonjwa walio mashinani wahangaika kwa SHA

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 223 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wadau katika sekta ya afya waelezea wasiwasi wao kuhusu mahangaiko ya wagonjwa walioko mashinani hususan wazee, ambao wataabika kutokana na changamoto za Bima Ya SHA. Wakazi wengi wasiojiweza kimapato kutoka Kisii na Nyamira walazimika kutembea kilomita nyingi wakitafuta huduma za matibabu za bure zinazotolewa na mashirika ya kibinafsi.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%