Maafisa wa usalama kutoka kaunti za Isiolo, Samburu na Marsabit watoa onyo kwa wezi wa mifugo

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 129 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Maafisa wa usalama kutoka kaunti za Isiolo, Samburu na Marsabit wawapa washukiwa wa wizi wa mifugo siku tano kurejesha mifugo walioibwa katika wiki za hivi karibuni. Makataa hayo yalitolewa wakati wa mkutano uliowahusisha wazee na viongozi wa eneo hilo katika Kaunti ya Samburu. Mkutano huo ulilenga kudhibiti visa vya wizi wa mifugo na kukomesha migogoro katika mipaka ya kaunti hizo tatu.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%