Ruto accuses Uhuru of backing opposition ahead of 2027 polls
Community Score: 50% | 6 views | 3d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto amemtaja Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta Kuwa Mfadhili mkuu wa Upinzani akimtaja kuwa nyuma ya pazia ya siasa za Upinzani ili kuwafadhili mahasimu wake kushindana naye debeni katika uchaguzi wa mwaka wa 2027. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara huko eldoret, Rais Ruto aliwataja wapinzani kama ambao hawakuw ana maono yoyote na kuwahakikikishia kuwa atawabwaga mapema.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%