Wanafunzi wa Busia wahusishwa katika mradi wa miche kusaidia kugharamia masomo

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 259 views | 3d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wanafunzi kutoka familia zisizojiweza kutoka shule za msingi, zile za sekondari pamoja na shule za watoto wenye mahitaji maalum kaunti ya Busia wamehusishwa katika mradi wa upanzi wa miche ili kuwasaidia kulipa gharama za shule. Wanafunzi hao kutoka jumla ya shule 200 eneobunge la Teso Kusini wamefunzwa jinsi ya kupanda na kukuza miche haswa ya miti ya matunda na ile ya asili.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%