Serikali italazimika kukubali uagizaji wa vyakula ili kuwahakikishia wakenya chakula cha kutosha

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 12 views | 2d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Huenda serikali ikalazimika kukubali baadhi ya vyakula kuagizwa kutoka nje ili kuwahakikishia wakenya chakula cha kutosha. Haya ni kuwa amujibu wa waziri wa kilimo Mutahi Kagwe. Akizuru Kaunti ya Trans Nzoia kutathmini uharibifu uliosababishwa na kiangazi, Kagwe asema kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri pakubwa uzalishaji wa chakula, hali ambayo itaathiri uzalishaji wa chakula cha kutosha kukithi mahitaji ya taifa.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%