Aliyekuwa seneta mteule Millicent Omanga atilia shaka ruwaza ya 2060
Community Score: 50% | 486 views | 3d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Aliyekuwa seneta mteule wa Nairobi Millicent Omanga amewataka vijana na kina mama kumakinika katika uchaguzi wa viongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza alipozuru hospitali ya uzazi ya Pumwani hapa jijini Nairobi, Omanga amesisitiza umuhimu wa wananchi kuchagua viongozi wanaoweza kushughulikia changamoto zinazowakabili. Aidha, ametupilia mbali ahadi za serikali za kurahisisha upatikanaji wa huduma za matibabu kwa wananchi, akikosoa pia uzinduzi wa ruwaza ya mwaka 2060 uliofanywa na rais william ruto, akisema kuna haja ya serikali kuweka mkazo kwanza katika kutimiza ahadi ilizotoa kwa wananchi.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%