Baraza la Wanahabari nchini (MCK) lazindua rasmi mwongozo mpya kuhusu uchaguzi mkuu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 312 views | 3d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Baraza la Wanahabari nchini (MCK) lazindua rasmi mwongozo mpya utakaowaongoza wanahabari kuhusu uchaguzi mkuu.Hafla hiyo yaendelea katika kaunti ya Nakuru na yalenga kuwapa wanahabari mbinu bora za kuripoti uchaguzi ujao kwa uwajibikaji.Haya yajiri wakati ambapo visa vya wanahabari kushambuliwa, kutishiwa, na kuzuiliwa kufanya kazi yao vimekithiri kote nchini.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%