Usalama wa uchaguzi mkuu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 25 views | 1mo

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Idara ya usalama imeihakikishia tume huru ya uchaguzi kuwa itadumisha usalama wakati wa uchaguzi mkuu ujao. Kwenye kikao hapa Nairobi, makamishna wa IEBC wanakutana na maafisa wakuu wa polisi kujadili mikakati ya usalama katika uchaguzi mkuu ujao, ikiwemo utendakazi wa vifaa vya kielektroniki vya uchaguzi

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%