Alex Kiprotich asimulia masaibu ya kutekwa nyara

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 1mo

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Jioni ya leo tunaanza na taarifa kuhusu kutekwa nyara na kisha kuachiliwa kwa mhariri wa Standard Group, Alex Kiprotich, huku sasa ikibainika kuwa gari lililotumika katika tukio hilo linahusishwa na ofisi ya waziri mmoja wa serikali. Alex alitekwa nyara na kuzuiliwa kwa zaidi ya saa tano jana usiku katika eneo la Gilgil, kaunti ya Nakuru, kabla ya kuachiliwa karibu na bwawa la Masinga. Alex ameeleza namna alivyofunikwa uso kwa muda wote huo huku akiulizwa maswali kuhusu taarifa zake zinazohusu na kuikosoa serikali.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%