Utata wa kampuni ya Tata chemicals
Community Score: 50% | 961 views | 1mo
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru Kaunti ya Kajiado wiki hii, huku wakazi wa Magadi wakitarajia kutumia ziara hiyo kumfikishia kilio chao kuhusu kufungwa kwa kampuni ya Tata Chemicals. Wakazi hao sasa wanamtaka Rais kuhakikisha wanasikizwa na kushirikishwa katika mazungumzo yoyote kuhusu kufunguliwa tena kwa kampuni hiyo
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%