Uchaguzi wa bodi ya sukari: Wakulima wa miwa Busia wahofia hawatawakilishwa vyema

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 481 views | 1mo

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Utata kuhusu uchaguzi wa wakurugenzi katika bodi ya sukari nchini unazidi kutokota, wakulima wa miwa katika kaunti za Busia na Siaya wakiibua maswali kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo ambao sasa unatarajiwa kufanyika jumamosi tarehe tano mwezi huu. Wakulima hao wanahisi kuna njama fiche ya kumnyima mkulima haki ya kuchagua wakurugenzi watakaoangazia masilahi yao

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%