Wakazi wa eneo la Dunga wanataka kinamasi cha dunga kutambuliwa kitaifa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 237 views | 1mo

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wakazi wa eneo la Dunga sasa wanaitaka serikali kutambua kinamasi cha Dunga kama eneo muhimu kwa mazingira, ili kuzuia uharibufu wa eneo hilo. Hii ni baada ya kiasi kikubwa cha kinamasi hicho kuteketezwa kwa siku saba na baadhi ya wakazi wanaotaka kufanya kilimo katika eneo hilo.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%