Ruto: Serikali kutwaa asilimia 90 ya ardhi ya Tata Kajiado
Community Score: 50% | 6 views | 1mo
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto amesema serikali itatwaa asilimia 90 ya ardhi iliyokuwa ikimilikiwa na Tata Chemicals huko Kajiado, baada ya kuagiza kampuni hiyo ifungwe. Ruto amesema ardhi hiyo itarejeshewa wakazi wa Kajiado, huku kandarasi ya kampuni hiyo ikitangazwa upya ili kuvutia wawekezaji zaidi. Aidha, Rais amesema hakuna kampuni itakayoruhusiwa kumiliki zaidi ya ekari 30 za ardhi Kajiado.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%