Kafara ya amani: Familia ya Kasisi Allois Bett yadai haki zaidi ya mwaka baada ya kuuawa
Community Score: 50% | 1.5K views | 1mo
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Zaidi ya mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kasisi Allois Bett na majangili katika Bonde la Kerio, familia yake bado inalia haki. Wakati huo huo, majangili 16 wanaodaiwa kuacha shughuli za uhalifu wanasema wameachana na uvamizi, huku amani ikiripotiwa kurejea katika baadhi ya maeneo ya Bonde la Kerio.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%