Hofu yawagubika raia wa kigeni licha ya kuongezwa kwa muda
Community Score: 50% | 1 views | 1mo
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Hofu imeendelea kuwagubika raia wa kigeni kufuatia amri ya serikali kuwataka kuhalalisha uwepo wao nchini, licha ya serikali kuongeza muda wa miezi mitatu wa kuwa na stakabadhi na vibali vya kufanya biashara. Taharruki hiyo imewafikia pia wakimbizi na raia wa kigeni wanaotafuta hifadhi humu nchini na ambao wamepewa vyeti na Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Wakimbizi (UNHCR). Wakimbizi hao sasa wanakimbilia ofisi za UNHCR jijini Nairobi kutafuta hifadhi.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%