Linda Mwananchi kutafuta mgombea mmoja wa kumkabili Ruto
Community Score: 50% | 2 views | 4w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Jioni ya leo tunaanzia hapa Nairobi, ambako mamia ya wakazi waliungana na viongozi wa Linda Mwananchi waliokuwa wakizunguka mitaa kadhaa ya jiji. Viongozi hao, wakiongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna, wametangaza azma ya kufikia makubaliano ya kumpata mgombea mmoja atakayepeperusha bendera ya muungano huo dhidi ya Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao. Na kama Seth Olale anavyoripoti, wanasiasa hao wameendelea kuikosoa serikali kwa kile wanachodai ni kushindwa kutekeleza ahadi zake kwa Wakenya.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%