Museveni asitisha mpango wa kuagiza mafuta kupitia Kenya
Community Score: 50% | 0 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Mpango wa uagizaji mafuta wa serikali kwa serikali umeibuka tena, mara hii nchini Uganda, kufuatia ufichuzi kuhusu mikataba tata inayodaiwa kuwagharimu walipa kodi wa Uganda mamilioni ya fedha. Rais wa Uganda Yoweri Museveni amefichua kuwa serikali yake ilisimamisha mpango wa kununua mafuta na bidhaa zake kupitia Kenya, baada ya seneta mmoja wa Kenya kumuonya kuhusu kuhusishwa kwa madalali katika mpango huo. Brenda Wanga anatufahamisha zaidi.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%