Serikali yaomba Mahakama ya Rufaa iidhinishe uuzaji wa hisa za Safaricom

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Serikali sasa inaitaka mahakama ya rufaa kutupilia mbali uamuzi wa mahakama kuu uliobatilisha uuzaji wa asilimia 15 ya hisa zake za kampuni ya Safaricom. Waziri wa Fedha John Mbadi na mwanasheria mkuu Dorcas Oduor, wameieleza mahakama kwamba tayari shilingi bilioni 204 zinazotokana na mauzo ya hisa hizo kwa kampuni ya Vodacom zimeshaelekezwa kwenye miradi mbalimbali chini ya hazina ya kitaifa ya miundombinu.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%