Rais Ruto aomba mageuzi ya kifedha duniani na matumizi bora ya rasilimali za Afrika
Community Score: 50% | 72 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto anashinikiza mageuzi ya kimsingi katika mfumo wa kifedha wa dunia na uongozi wa kimataifa. Akizungumza kwenye mkutano kuhusu ushirikiano kati ya Kenya na Muungano wa Ulaya jijini New York, Marekani, Rais Ruto amesema kuwa Bara la Afrika lina rasilmali za kutosha ila hazitumiwi kwa manufaa na ustawi wa mataifa ya bara hilo.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%