Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu chatoa notisi ya Siku 7 kwa serikali
Community Score: 50% | 0 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu, uasu, kimetoa notisi ya siku saba ya mgomo, kuanzia tarehe 2 oktoba 2026. Akizungumza katika ofisi za uasu nairobi, katibu mkuu dr. Constatine wasonga amesema hatua hiyo imetokana na kushindwa mara kwa mara kwa mabaraza ya vyuo vikuu, wizara ya elimu na hazina ya kitaifa kutekeleza mkataba wa makubaliano wa kurejea kazini (2025-2029) uliotiwa saini tarehe 5 novemba 2025.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%