Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen aongoza kuharibiwa kwa mihadarati ya KSh 8.2B kaunti ya Mombasa
Community Score: 50% | 995 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen na maafisa wakuu wa usalama wanashuhudia kuharibiwa kwa shehena ya dawa za kulevya jijini Mombasa. Mihadarati ya methamphetamine ya shilingi bilioni 8.2 ilinaswa kwenye meli moja mwezi Oktoba mwaka jana karibu na bandari ya Mombasa. Raia sita wa Iran wanahusishwa na sakata hiyo huku kesi dhidi yao ikiendelea katika mahakama ya Shanzu. Francis matalaki anaungana nasi mubashara kw amengi zaidi.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%