Mahakama ya Ngong kaunti ya Kajiado yaachilia huru waandamanaji 33 waliokamatwa 2025
Community Score: 50% | 447 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Washtakiwa 33 kutoka Kajiado Kaskazini waliokamatwa wakati wa maandamano ya Saba Saba mwaka 2025 wameachiliwa huru na Mahakama ya Ngong, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuwasilisha ushahidi wa kutosha.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%