Afisa wa polisi, mshukiwa mwingine wakamatwa kwa mauaji ya wakili Mbobu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Washukiwa wawili, akiwemo afisa wa polisi, wamekamatwa kwa madai ya kuhusika na mauaji ya wakili Mathew Kyalo Mbobu Septemba mwaka jana. Julius Kipkoech Cheruiyot, afisa wa cheo cha konstebo, anadaiwa kumpiga risasi wakili Mbobu, huku mshukiwa mwingine, Nicholas Lemiso, akidaiwa kuwa mwendeshaji wa boda boda aliyembeba. Uchunguzi pia umebaini kuwa mauaji ya Mbobu yanahusiana na mauaji ya Daktari Victoria Mutiso.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%