Watu wajeruhiwa katika mapigano ya wizi wa mifugo Samburu
Community Score: 50% | 328 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Idadi isiyojulikana ya watu wamejeruhiwa katika mapigano yaliyochochewa na wizi wa mifugo katika eneo la Marti, Samburu. Haya yanajiri huku viongozi wa kaunti hiyo wakiitaka serikali isitishwe operesheni inayoendelea katika mpaka wa Samburu na Isiolo, ambako maelfu ya mifugo wameuawa kwa kupigwa risasi.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%