Upinzani wadai polisi wanatumika kuwateka raia

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Viongozi wa Upinzani sasa wanadai kuwa kuna kikosi maalum cha maafisa wa polisi wanaotumiwa na serikali ya Rais William Ruto kuwateka Nyara na kuwatesa Raia. Wakizungumza kwenye hafla tofauti huko Busia na Nakuru, viongozi hao wanasema rais Ruto anawatumia polisi kuwakandamiza wakenya wanaopinga utawala wake. Haya yanajiri huku kinara wa chama cha People's Party of Kenya Ndindi Nyoro akimtaka Rais kuweka wazi watakaomiliki hisa katika Kampuni ya kusafisha Mafuta itakayozinduliwa Lamu.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%