Mwanaharakati Collins Otieno adai kutekwa na kuteswa
Community Score: 50% | 0 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Mwanaharakati Collins Otieno anadai aliteswa na watu waliomteka nyara, huku ripoti za matibabu zikibaini kuwa ana majeraha kifuani na kichwani, pamoja na kuvunjika kwa miguu. Collins alipatikana Ijumaa usiku katika barabara kuu ya Thika, siku tatu baada ya kuripotiwa kutoweka. Inasemekana kuwa Collins hakumbuki yaliyompata wakati alipokuwa ametoweka.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%