Ruto amjibu Uhuru kuhusu uchaguzi wa 2022

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Rais William Ruto kwa mara ya kwanza amemjibu mtangulizi wake Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akidai matamshi yake kuhusu uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka 2022 ni ya kupotosha. Rais Ruto badala yake akimtak[a] Rais huyo mstaafu kuwa mwenye uongozi wa ustaarabu akimlaumu kwa kushindwa kuimarisha Kenya alipokuwa ofisini. Ken Muga anatufungulia Jamvi la Nipashe Wikendi.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%