Joyce Wangare Njiru azikwa eneo la Mito Mbili kaunti ya Trans Nzoia baada ya miezi mitatu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 1.5K views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Hatimaye, mama Joyce Wangare Njiru amezikwa katikaeneo la Mito Mbili, kaunti ya Trans Nzoia, baada ya familia na wanakijiji kusubiri kwa zaidi ya miezi tatu kuupata mwili wake kwa ajili ya mazishi. Mwili wa marehemu ulikuwa umehifadhiwa katika hospitali moja ya kibinafsi jijini Nairobi kutokana na deni la matibabu, hali iliyochelewesha maandalizi ya mazishi ya heshima.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%