Wito wa kuondolewa kwa unyanyapaa dhidi ya uavyaji mimba watolewa Embumbul kaunti ya kajiado
Community Score: 50% | 350 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya uavyaji mimba salama,Wadau wa afya ya uzazi waliokongamana huko Embumbul kajĩado kaskazini,wanatoa wito wa kuondolewa kwa unyanyapaa dhidi ya wanawake wanaopitia matatizo yanayohusiana na uavyaji mimba kwa sababu za kiafya, wakisema hofu ya kuhukumiwa huwafanya baadhi yao kuchelewa kutafuta matibabu. Wacuka Kiarie na mengi zaidi....
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%