Kamati ya elimu yakagua ujenzi wa chuo kikuu cha koitalel samoei kaunti ya Nandi
Community Score: 50% | 303 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kamati ya Bunge kuhusu Elimu imefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi katika bewa la Chuo Kikuu cha Koitalel Samoei mjini Nandi Hills, Kaunti ya Nandi. Ujenzi wa jengo la utawala, kumbi za mihadhara pamoja na miundombinu mingine ya chuo hicho ulikwama kwa muda kutokana na changamoto za kifedha pamoja na madai ya kutokuwepo kwa viwango vinavyohitajika katika kazi zilizotekelezwa na mkandarasi wa awali.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%