Jamii ya Authaq wamtawaza Ali Bunow Korane kuwania ugavana Garissa 2027

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 375 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Jamii ya Authaq katika Kaunti ya Garissa imemtawaza aliyekuwa Gavana wa pili wa kaunti hiyo, Ali Bunow Korane, kuwania tena kiti cha ugavana katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Uamuzi huo umefikiwa kupitia kile viongozi wa jamii hiyo wanachokiita demokrasia ya maelewano, baada ya Mhandisi Moulid Mohamed Shuriye kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%