KWS latakiwa kuwaondoa ndovu wanaoshambulia wakazi eneo la Mosiro kaunti ya Kajiado

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 131 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini, KWS, limepewa makataa ya siku 7 kuwaondoa mamia ya ndovu wanaoendelea kusababisha vifo vya wakazi katika eneo la Mosiro, Kajiado Magharibi. Wakazi hao wanasema kisa cha hizi punde kinahusisha watu wanne waliofariki wiki jana baada ya kushambuliwa na tembo hao.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%