Wahudumu 186 wa afya kaunti ya Makueni wapata ajira ya kudumu baada ya miaka ya kandarasi
Community Score: 50% | 135 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Wafanyikazi 186 wa idara ya afya waliokuwa wanahudumu chini ya mpango wa UHC na waliokuwa chini ya ajira ya kanadarasi tangu wakati wa ugonjwa wa covid 19 wamepata ajira ya kudumu baada maafikiano kati ya serikali kuu na zile za kaunti, serikali ya Makueni ikiwa ya kwanza kuwaidhinisha katika ajira ya kudumu wafanyikazi hao
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%