Ruto amshambulia Sifuna kuhusu mkataba wa Dangote, asema hatakubali mradi kuvurugwa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 80 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Rais William Ruto amemkosoa kiongozi wa Linda Mwananchi na Seneta Edwin Sifuna, akimtuhumu kwa ufisadi na kudai kuwa anatumiwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kushinikiza kuwekwa wazi kwa mkataba wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi kinachopendekezwa na mfanyabiashara Aliko Dangote. Akizungumza Taita Taveta na Mombasa, Rais Ruto amesema hatakubali mradi huo kuvurugwa. Aidha, amedai kuwa mradi wa Dangote wa kiwanda cha saruji uliwahi kushindwa kuanza nchini Kenya kutokana na baadhi ya maafisa wa serikali kudai hongo.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%