Kampuni ya Patiala Distillers yakana madai kuhusu uhusiano na naibu rais Kithure Kindiki
Community Score: 50% | 10 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kampuni ya Patiala Distillers Limited imekanusha madai yanayoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uhalali wa bidhaa zake za vileo, pamoja na madai yanayoiunganisha kampuni hiyo na Naibu Rais Kithure Kindiki. Patiala imesema madai hayo si ya kweli na kusisitiza kuwa ni kampuni iliyo na leseni ya kutengeneza vileo nchini Kenya. Kampuni hiyo pia imewataka wananchi kutotaja bidhaa bandia zinazobeba majina ya chapa zake kama bidhaa
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%