Masomo katika vyuo vikuu 39 vya umma yasitishwa kufuatia mgomo wa wahadhiri
Community Score: 50% | 5 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Masomo katika vyuo vikuu 39 vya umma yamesitishwa kufuatia mgomo wa wahadhiri kote nchini. Wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma wanashinikiza utekelezaji kamili wa Mkataba wa Makubaliano wa mwaka 2025 hadi 2029, unaohusu mishahara, marupurupu na maslahi yao. Wahadhiri hao wanaikosoa Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) kwa kile wanachodai kuwa ni kucheleweshwa kwa utekelezaji wa makubaliano hayo. Na kama anavyoripoti Ben Kirui, wahadhiri wanasisitiza kuwa hatua zaidi zinahitajika ili kuhakikisha makubaliano hayo yanatekelezwa kikamilifu.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%