Ruto awaonya mabwenyenye wanaonyakua ardhi Pwani
Community Score: 50% | 18 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto amewaonya Mabwenyenye ambao ni wanaonyakua ardhi katika eneo la pwani na kuwaacha wakazi wakiwa maskwota. Rais amesema kuwa serikali haitaruhusu wakazi kuhangaishwa na walaghai wa mashamba Pwani, akiahidi kubatilisha hatimiliki zilizopatikana kwa njia ambayo sio halali ili wakazi wapate haki. Rais alisema hayo katika kaunti ya Mombasa ambapo akitoa hati miliki za ardhi kwa wakazi na kuwaagiza kutohama kutoka kwenye mashamba yao
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%