Wakazi wa Mwea wadai haki kufuatia kifo cha mama mjamzito
Community Score: 50% | 112 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Wakazi wa kijiji cha Mugamba Ciura, Mwea, Kaunti ya Kirinyaga, wanadai haki kufuatia kifo cha mama mjamzito aliyedaiwa kufariki baada ya kutupwa nje ya gari la polisi. Mama huyo, ambaye alikuwa akisafiri pamoja na mumewe, alifariki papo hapo. Tukio hilo lilizua maandamano katika eneo hilo, huku polisi wakiahidi kufanya uchunguzi.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%