Wadau katika kaunti ya Kajiado waonya kuhusu kupungua kwa malisho katika eneo la Amboseli

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 327 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wadau wa kuwatunza wanyapori na mazingira katika Kaunti ya Kajiado wameeleza wasiwasi wao kuhusu kuendelea kupungua kwa malisho ya wanyapori na mifugo katika eneo pana la Amboseli. Wakizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanyama ya kimataifa yalioandaliwa katika eneo la Risa Huko Kajiado Kusini wanasema hali hiyo huenda ikaongeza migogoro baina ya wanadamu na wanyapori.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%