Wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wataka hatua dhidi ya vurugu za kisiasa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanatoa wito kwa idara ya usalama wa ndani kuweka mikakati madhubuti ya kukabiliana na visa vya vurugu vinavyohusishwa na siasa, wakisema hali hiyo imeanza kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Haya yanajiri baada ya mwaniaji mmoja kuvamiwa na gari lake kuharibiwa katika viunga vya mji wa Kitale.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%