Madereva walalamikia hongo na unyanyasaji wa polisi barabarani
Community Score: 50% | 128 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Visa vya ajali barabarani vikiendelea kuripotiwa nchini swala la ufisadi katika barabara kuu nchini linaibuka. Baadhi ya madereva wakielezea hali ngumu wanayopitia mikononi mwa maafisa wa polisi wengi wakidai kwamba wasipotoa hongo basi huenda wakalimbikiziwa makosa zaidi. madereva na abiria wanaitaka serikali kutekeleza kikamilifu ripoti ya jopo kazi kuhusu idara ya polisi..
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%