Wataalamu waeleza hatua za kudhibiti Ebola nchini
Community Score: 50% | 0 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Thibitisho kuhusu kisa cha kwanza cha Ebola nchini linajiri wakati ambapo maafisa wa afya wanaendelea kufuatilia watu ambao huenda walitangamana na mgonjwa huyo. Mwanahabari wetu Mary Muoki alizungumza na mtaalamu wa magonjwa ya kuambukiza, na anatueleza kinachotokea baada ya mtu kuambukizwa, dalili za ugonjwa, jinsi virusi vya Bundibugyo vinavyotofautiana na aina nyingine za Ebola zilizowahi kuripotiwa, pamoja na hakikisho kwamba Kenya iko katika nafasi nzuri ya kudhibiti kuenea kwa virusi vya Ebola.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%