Kenya yarekodi kisa cha kwanza cha Ebola
Community Score: 50% | 272 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kenya imerekodi kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Ebola nchini. Mgonjwa huyo aliaga dunia Jumatatu usiku. Akithibitisha kisa hicho, Waziri wa Afya Aden Duale alisema marehemu alikuwa raia wa Kenya aliyekuwa akiishi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mgonjwa huyo alizikwa leo huku mamlaka za afya zikiendelea na hatua za kukabiliana na ugonjwa huo na kufuatilia watu waliokutana naye.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%